Baba Yetu (The Lords Prayer in Swahili)

Gamer’s got talent!

Swahili Lyrics:

Baba yetu, Yetu uliye
Mbinguni yetu, Yetu amina!
Baba yetu Yetu uliye
M jina lako e litukuzwe.

Utupe leo chakula chetu
Tunachohitaji utusamehe
Makosa yetu, hey!
Kama nasi tunavyowasamehe
Waliotukosea usitutie
Katika majaribu, lakini
Utuokoe, na yule, muovu e milele!

Ufalme wako ufike utakalo
Lifanyike duniani kama mbinguni. Amina.

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s